Urujuani Zaburi: Juma 3 SOMO 1: Kut. 17:3-7 Watu wakawa na kiu huko; nao wakamnung’unikia Musa, wakasema, ”Mbona umetupandisha kutoka Misri, kutuua sisi na watoto wetu na wanyama wetu kwa
JANUARI 31, 2020. IJUMAA: JUMA LA 3 LA MWAKA
Mt. Yohane Bosko, PadreKumbukumbu,KijaniZaburi: Juma 3 SOMO I: 2 Sam. 11: 1-10, 13-17Ikawa, mwanzo wa mwaka mpya, wakati watokapo wafalme kwenda vitani, Daudi akampeleka Yoabu, na watumishi wake pamoja naye,
JANUARI 30, 2020 ALHAMISI: JUMA LA 3 LA MWAKA
Mt. Yasinta, Mtawa Kijani Zaburi: Juma 3 SOMO 1: 2 Sam. 7: 18-19. 24-29 Daudi, mfalme, aliingia, akaketi mbele za Bwana, akasema, Mimi ni nani, Bwana Mungu, na nyumba yangu
2020 JANUARI 29 JUMATANO: JUMA LA 3 LA MWAKA
Mt. Gilidas, Abati Kijani Zaburi: Juma 3 SOMO 1: 2 Sam. 7: 4-17 Neno la Bwana lilimfikia Nathani kusema, Enenda, ukamwambie mtumishi wangu, Daudi, Bwana asema hivi, Je! Wewe utanijengea
2020 JANUARI 1 JUMATANO: OKTAVA YA KUZALIWA BWANA
MARIA MTAKATIFU MAMA WA MUNGU Sherehe Nyeupe Zaburi: Tazama sala ya siku SOMO I: Hes. 6:22-27Bwana alinena na Musa, na kumwambia, “Nena na Haruni na wanawe, uwaambie, Hivi ndivyo mtakavyowabarikia