Urujuani Zaburi: Juma 3 SOMO 1: Kut. 17:3-7 Watu wakawa na kiu huko; nao wakamnung’unikia Musa, wakasema, ”Mbona umetupandisha kutoka Misri, kutuua sisi na watoto wetu na wanyama wetu kwa
FEBRUARI 29, 2020; JUMAMOSI BAADA YA MAJIVU
Mt. Oswaldi, Askofu Urujuani Zaburi: Juma 4 SOMO 1: Isa. 58: 9b-14 Bwana asema hivi: kama ukiiondoa nira; isiwepo kati yako, wala kunyosha kidole, wala kunena maovu; na kama ukimkunjulia
FEBRUARI 28, 2020; IJUMAA BAADA YA MAJIVU
Mt. Romano, Abati/ Mt. Lupisini Mtawa Urujuani Zaburi: Juma 4 SOMO 1: Isa. 58: 1-9Bwana Mungu asema hivi: piga kelele, usiache, paza sauti yako kama tarumbeta; uwahubiri watu wangu kosa
FEBRUARI 27, 2020; ALHAMISI: ALHAMISI BAADA YA MAJIVU
Mt. Leandri, Askofu Urujuani Zaburi: Juma 4 SOMO 1: Kum. 30: 15-20Musa aliwaambia watu akisema: “Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya; kwa hivi nikuagizavyo
FEBRUARI 7, 2020. IJUMAA: JUMA LA 4 LA MWAKA
Mwenyeheri Yakobo wa Sales na William wafiadini, Kijani, Zaburi: Juma 4. SOMO 1: YbS. 47: 2-11Kama mafuta yalivyotengwa na kafara ya amani, vivyo hivyo Daudi alitengwa na wana wa Israeli.