Mt. Gilidas, AbatiKijaniZaburi: Juma 4 SOMO 1: Sef 2:3, 3:12-13Mtafuteni Bwana, enyi nyote mlio wanyenyekevu wa dunia, ninyi mliozitenda hukumu zake; itafuteni haki, utafuteni unyenyekevu; huenda mtafichwa katika siku ya
JANUARI 28, 2023; JUMAMOSI: JUMA LA 3 LA MWAKA
Mt. Toma wa Akwino, Padre na Mwalimu wa KanisaKumbukumbuKijaniZaburi: Juma 3 SOMO 1 : Ebr 11:1-2, 8-19Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Maana
JANUARI 27, 2023; IJUMAA: JUMALA 3 LA MWAKA
Angela Merichi, BikiraKijaniZaburi: Juma 3 SOMO 1: Ebr 10:32-39Zikumbukeni siku za kwanza, ambazo, mlipokwisha kutiwa nuru, mlistahimili mashindano makubwa ya maumivu; pindi mlipotwezwa kwa mashutumu na dhiki, na pindi mliposhirikiana
JANUARI 25, 2023; JUMATANO: JUMA LA 3 LA MWAKA
KUONGOKA KWA MT. PAULO, MTUMESikukuuNyeupeZaburi: Tazama sala ya siku SOMO 1: Mdo. 22:3-16Paulo aliwaambia makutano, Mimi ni mtu wa Kiyahudi, nalizaliwa Tarso, mji wa Kilikia, ila nililelewa katika mji huu,
JANUARI 24, 2023; JUMANNE: JUMA LA 3 LA MWAKA
Mt. Fransisko wa Sale, Askofu na Mwalimu wa KanisaKumbukumbuKijaniZaburi: Juma 3 SOMO 1: Ebr. 10:1-10Kwa kuwa torati ni kivuli cha mema yatakayokuwa, wala si sura yenyewe ya mambo hayo, kwa
JANUARI 23, 2023; JUMATATU: JUMA LA 3 LA MWAKA
Mt. Visenti, Shemasi na ShahidiNyeupeZaburi: Juma 3 SOMO 1: Ebr. 9:15, 24-28Kristo ni mjumbe wa agano jipya, ili, mauti ikiisha kufanyika kwa kukomboa makosa yaliyokuwa chini ya agano la kwanza,
JANUARI 22, 2023; JUMAPILI: JUMAPILI YA 3 YA MWAKA
KijaniZaburi: Juma 3 SOMO 1: Isa. 9:1-4Bwana aliingiza nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali katika hali ya kudharauliwa, lakini zamani za mwisho ameifanya kuwa tukufu, karibu na njia ya
JANUARI 21, 2023; JUMAMOSI: JUMA LA 2 LA MWAKA
Mt. Agnes, Bikira na ShahidiKumbukumbuKijaniZaburi: Juma 2 SOMO 1: Ebr 9:2-3, 11-14Hema ilitengenezwa, ile ya kwanza, mlimokuwa na kinara cha taa, na meza, na mikate ya Wonesho; ndipo palipoitwa, Patakatifu.
JANUARI 20, 2023; IJUMAA: JUMA LA 2 LA MWAKA
Wat. Fabiani, Papa na Sebastian, MashahidKijaniZaburi: Juma 2 SOMO 1: Ebr 8:6-13Kuhani wetu sasa amepata huduma iliyo bora zaidi, kwa kadiri alivyo mjumbe wa agano lililo bora, lililoamriwa juu ya
JANUARI 19, 2023; ALHAMISI: JUMA LA 2 LA MWAKA
Mt. Visenti, Shemasi na ShahidiKijaniZaburi: Juma 2 SOMO 1: Ebr 7:25 – 8:6Yesu aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai siku zote ili awaombee. Maana ilitupasa