KijaniZaburi: Juma 1SOMO 1: Eze. 2:8-3:4 Ezekieli aliisikia sauti, ikamwambia: “Mwanadamu, sikia neno hili ninalokuambia; usiwe wewe mwenye kuasi kama nyumba ile yenye kuasi; funua kinywa chako, ule nikupacho.” Nami
FEBRUARI 8, 2020. JUMAMOSI: JUMA LA 4 LA MWAKA
Mt. Hieronimo Emiliano Kijani Zaburi: Juma 4 SOMO 1: 1 Fal. 3: 4-13Mfalme Sulemani alienda Gibeoni, ili atoe dhabihu huko; kwa kuwa ndipo mahali pa juu palipo pakuu. Sulemani akatoa
FEBRUARI 5, 2020. JUMATANO: JUMA LA 4 LA MWAKA
Mt. Agata, Bikira na Shahidi,Kumbukumbu,Kijani,Zaburi: Juma 4. SOMO 1: 2 Sam. 24: 2, 9-17Mfalme Daudi alimwambia Yoabu, jemadari wa jeshi la askari, waliokuwa pamoja naye, “Zunguka sasa katikati ya kabila
FEBRUARI 4, 2020 JUMANNE: JUMA LA 4 LA MWAKA
Mt. Gilberti, PadreKijaniZaburi: Juma 4 SOMO 1: 2 Sam. 18: 9-10. 14b, 24-25a. 30 – 19: 3Kwa bahati Absalomu alikutana na watumishi wa Daudi. Naye Absalomu alikuwa amepanda nyumbu wake,
FEBRUARI 1, 2020. JUMAMOSI: JUMA LA 3 LA MWAKA
Mt. Birgida, Mtawa Kijani Zaburi: Juma 3 SOMO 1: 2 Sam. 12: 1-7, 10-17Bwana alimtuma Nathani aende kwa Daudi. Naye akamwendea, akamwambia, “Palikuwa na watu wawili katika mji mmoja; mmoja
JANUARI 30, 2020 ALHAMISI: JUMA LA 3 LA MWAKA
Mt. Yasinta, Mtawa Kijani Zaburi: Juma 3 SOMO 1: 2 Sam. 7: 18-19. 24-29 Daudi, mfalme, aliingia, akaketi mbele za Bwana, akasema, Mimi ni nani, Bwana Mungu, na nyumba yangu