Mt. Bonaventura, Askofu na Mwalimu wa KanisaKumbukumbuKijaniZaburi: Juma 1SOMO 1: Isa. 10:5-7, 13-16Bwana asema hivi: Ole wake Ashuru! Fimbo ya hasira yangu, ambaye gongo lililo mkononi mwake ni ghadhabu yangu!
FEBRUARI 26, 2020; JUMATANO YA MAJIVU
Mt. Porfiri, Askofu Urujuani Zaburi: Juma 3 SOMO 1: Yoe. 2:12-18“Lakini hata sasa, asema Bwana, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea,”
FEBRUARI 5, 2020. JUMATANO: JUMA LA 4 LA MWAKA
Mt. Agata, Bikira na Shahidi,Kumbukumbu,Kijani,Zaburi: Juma 4. SOMO 1: 2 Sam. 24: 2, 9-17Mfalme Daudi alimwambia Yoabu, jemadari wa jeshi la askari, waliokuwa pamoja naye, “Zunguka sasa katikati ya kabila