Mt. Ambrosi, Askofu na Mwalimu wa KanisaUrujuaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: Isa 26:1-6Siku ile wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda; Sisi tunao mji ulio na nguvu; Ataamuru wokovu kuwa
DESEMBA 5, 2023; JUMANNE: JUMA LA 1 LA MAJILIO
Mt. Saba, Mkaa Pweke UrujuaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: Isa. 11:1-10Siku ile likatoka chipukizi katika shina la Yese, na tawi litakalotoka katika mizizi yake litazaa matunda. Na roho ya Bwana
DESEMBA 4, 2023; JUMATATU: JUMA LA 1 LA MAJILIO
Mt. Yohane wa Damasko, Padre na Mwalimu wa KanisaUrujuaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: Isa 2:1-5Hili ni neno aliloliona Isaya mwana wa Amosi katika habari za Yuda na Yerusalemu. Na itakuwa
DESEMBA 3, 2023; DOMINIKA: DOMINIKA YA 1 YA MAJILIO
UrujuaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: Isa. 63:16-17; 64:1, 4-8Wewe, Bwana, ndiwe Baba yetu, mkombozi wetu tangu milele ndilo jina lako. Ee Bwana, mbona umetukosesha njia zako, ukatufanyiza kuwa na mioyo
DESEMBA 2, 2023; JUMAMOSI: JUMA LA 34 LA MWAKA
Mt. Bibiana, MfiadiniKijaniZaburi: Juma 2 SOMO 1: Dan 7:15-27Mimi Danieli, roho yangu ilihuzunika mwilini mwangu, na hayo maono ya kichwa changu yakanifadhaisha. Nikamkaribia mmoja wa hao waliosimama karibu, nikamwuliza maana
DESEMBA 1, 2023; IJUMAA: JUMA LA 34 LA MWAKA
Mt. Eliji, AskofuKijaniZaburi: Juma 2 SOMO 1: Dan 7:2-14Danieli alinena akisema, naliona katika maono yangu wakati wa usiku; na tazama, hizo pepo nne za mbinguni zilivuma kwa nguvu juu ya
NOVEMBA 29, 2023; JUMATANO: JUMA LA 34 LA MWAKA
Mt. RadbodKijaniZaburi: Juma 2 SOMO 1: Dan 5:1-6, 13-14, 16-17, 23-28Belshaza, mfalme, aliwafanyia wakuu wake elfu karamu kubwa, akanywa divai mbele ya elfu hao. Belshaza, alipokuwa akionja ile divai, akaamuru
NOVEMBA 28, 2023; JUMANNE: JUMA LA 34 LA MWAKA
Mt. Katarina, MtawaKijaniZaburi: Juma 2 SOMO 1: Dan 2:31-45Danieli alimwambia Nebukadreza: Wewe Ee mfalme, uliona na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii iliyokuwa kubwa sana na mwangaza wake mwingi sana,
NOVEMBA 27, 2023; JUMATATU: JUMA LA 34 LA MWAKA
Mt. Leonardi, PadreKijaniZaburi: Juma 2 SOMO 1: Dan 1:1-6, 8-20Katika mwaka wa tatu wa kumiliki kwake Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, Nebukadreza, mfalme wa Babiloni, alikwenda Yerusalemu akauhusuru. Bwana akamtia Yehoyakimu,
NOVEMBA 26, 2023; DOMINIKA: DOMINIKA YA 34 YA MWISHO WA MWAKA
KRISTU MFALMEShereheNyeupeZaburi: Tazama sala ya siku SOMO 1: Eze. 34:11-12, 15-17Bwana Mungu asema hivi; Tazama mimi mwenyewe, naam, mimi, nitawatafuta kondoo zangu, na kuwaulizia. Kama vile mchungaji atafutavyo kondoo zake,