KijaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: Isa. 58: 7-10Je! Siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako, na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani kwako? Umwonapo mtu aliye uchi, umvike nguo; wala usijifiche na
FEBRUARI 4, 2023; JUMAMOSI: JUMA LA 4 LA MWAKA
Wat. Paulo Miki na Wenzake MashahidiKumbukumbuKijaniZaburi: Juma 4 SOMO 1: Ebr 13:15-17, 20-21Kwa njia yake Yesu tumpe Mungu dhabihu ya sifa daima, yaani, tunda la midomo iliungamayo jina lake. Lakini
FEBRUARI 3, 2023; IJUMAA: JUMA LA 4 LA MWAKA
Wat. Blasi, Ansgari Askofu na MashahidiKijaniZaburi: Juma 4 SOMO 1: Ebr 13: 1-8Upendano wa ndugu na udumu. Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua. Wakumbukeni
FEBRUARI 2, 2023; ALHAMISI JUMA LA 4 LA MWAKA
KUTOLEWA BWANA HEKALUNISikukuuNyeupeZaburi: Tazama sala ya siku SOMO 1: Mal. 3:1-4 Bwana Mungu asema hivi: Angalieni, namtuma mjumbe wangu, naye ataitengeneza njia mbele yangu; naye Bwana mnayemtafuta atalijilia hekalu lake
FEBRUARI 1, 2023; JUMATANO: JUMA LA 4 LA MWAKA
KijaniZaburi: Juma 4 SOMO 1: Ebr 12:4-7, 11-15 Hamjafanya vita hata kumwagika damu, mkishindana na dhambi. Tena mmeyasahau yale maonyo, yasemayo nanyi kama kusema na wana, Mwanangu, usiyadharau marudia ya
JANUARI 31, 2023; JUMANNE: JUMA LA 4 LA MWAKA
Mt. Agata, Bikira na ShahidiKumbukumbuKijaniZaburi: Juma 4 SOMO 1: Ebr. 12:1-4 Kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito. Na dhambi ile
JANUARI 30, 2023; JUMATATU: JUMA LA 4 LA MWAKA
Mt. Yasinta, MtawaKijaniZaburi: Juma 4 SOMO 1: Ebr 11:32-40Ndugu zangu niseme nini tena? Maana wakati usingenitosha kuleta habari za Gideoni na Baraka na Samsoni na Yeftha na Daudi na Samweli
JANUARI 29, 2023; JUMAPILI: JUMAPILI YA 4 YA MWAKA
Mt. Gilidas, AbatiKijaniZaburi: Juma 4 SOMO 1: Sef 2:3, 3:12-13Mtafuteni Bwana, enyi nyote mlio wanyenyekevu wa dunia, ninyi mliozitenda hukumu zake; itafuteni haki, utafuteni unyenyekevu; huenda mtafichwa katika siku ya
JANUARI 28, 2023; JUMAMOSI: JUMA LA 3 LA MWAKA
Mt. Toma wa Akwino, Padre na Mwalimu wa KanisaKumbukumbuKijaniZaburi: Juma 3 SOMO 1 : Ebr 11:1-2, 8-19Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Maana
JANUARI 27, 2023; IJUMAA: JUMALA 3 LA MWAKA
Angela Merichi, BikiraKijaniZaburi: Juma 3 SOMO 1: Ebr 10:32-39Zikumbukeni siku za kwanza, ambazo, mlipokwisha kutiwa nuru, mlistahimili mashindano makubwa ya maumivu; pindi mlipotwezwa kwa mashutumu na dhiki, na pindi mliposhirikiana