Mt. Ambrosi, Askofu na Mwalimu wa KanisaUrujuaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: Isa 26:1-6Siku ile wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda; Sisi tunao mji ulio na nguvu; Ataamuru wokovu kuwa
DESEMBA 6, 2023; JUMATANO: JUMA LA 1 LA MAJILIO
Mt. Nikolao, AskofuUrujuaniZaburi: Juma 1 SOMO I: Isa 25:6-10Siku ile Bwana wa majeshi atawafanyia mataifa yote karamu ya vitu vinono, karamu ya divai iliyokaa juu ya urojorojo wake, karamu ya
DESEMBA 5, 2023; JUMANNE: JUMA LA 1 LA MAJILIO
Mt. Saba, Mkaa Pweke UrujuaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: Isa. 11:1-10Siku ile likatoka chipukizi katika shina la Yese, na tawi litakalotoka katika mizizi yake litazaa matunda. Na roho ya Bwana
DESEMBA 1, 2023; IJUMAA: JUMA LA 34 LA MWAKA
Mt. Eliji, AskofuKijaniZaburi: Juma 2 SOMO 1: Dan 7:2-14Danieli alinena akisema, naliona katika maono yangu wakati wa usiku; na tazama, hizo pepo nne za mbinguni zilivuma kwa nguvu juu ya
NOVEMBA 30, 2023; ALHAMISI: JUMA LA 34 LA MWAKA
MT. ANDREA, MTUMESikukuuNyekunduZaburi: Tazama sala ya siku SOMO 1: Rum. 10:9-18Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
NOVEMBA 29, 2023; JUMATANO: JUMA LA 34 LA MWAKA
Mt. RadbodKijaniZaburi: Juma 2 SOMO 1: Dan 5:1-6, 13-14, 16-17, 23-28Belshaza, mfalme, aliwafanyia wakuu wake elfu karamu kubwa, akanywa divai mbele ya elfu hao. Belshaza, alipokuwa akionja ile divai, akaamuru
NOVEMBA 27, 2023; JUMATATU: JUMA LA 34 LA MWAKA
Mt. Leonardi, PadreKijaniZaburi: Juma 2 SOMO 1: Dan 1:1-6, 8-20Katika mwaka wa tatu wa kumiliki kwake Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, Nebukadreza, mfalme wa Babiloni, alikwenda Yerusalemu akauhusuru. Bwana akamtia Yehoyakimu,
NOVEMBA 26, 2023; DOMINIKA: DOMINIKA YA 34 YA MWISHO WA MWAKA
KRISTU MFALMEShereheNyeupeZaburi: Tazama sala ya siku SOMO 1: Eze. 34:11-12, 15-17Bwana Mungu asema hivi; Tazama mimi mwenyewe, naam, mimi, nitawatafuta kondoo zangu, na kuwaulizia. Kama vile mchungaji atafutavyo kondoo zake,
NOVEMBA 24, 2023; IJUMAA: JUMA LA 33 LA MWAKA
Wat. Flora na Maria, MashahidiKijaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: 1 Mak 4:36-37, 52-59Yuda na ndugu zake walisema, sasa adui zetu wamevunjwa nguvu, basi tupande tukapatakase mahali patakatifu na kupatabaruku. Jeshi
NOVEMBA 23, 2023; ALHAMISI: JUMA LA 33 LA MWAKA
Mt. Klementi I, Baba Mt. na Shahidi/ Mt. Kolumbani, AbatiKijaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: 1 Mak 2:15-29Watumishi wa mfalme waliokuwa wakiwashurutisha watu kuasi wakaja Modini kuwalazimisha watu kutoa dhabihu. Waisraeli