Mt. RadbodKijaniZaburi: Juma 2 SOMO 1: Dan 5:1-6, 13-14, 16-17, 23-28Belshaza, mfalme, aliwafanyia wakuu wake elfu karamu kubwa, akanywa divai mbele ya elfu hao. Belshaza, alipokuwa akionja ile divai, akaamuru
NOVEMBA 28, 2023; JUMANNE: JUMA LA 34 LA MWAKA
Mt. Katarina, MtawaKijaniZaburi: Juma 2 SOMO 1: Dan 2:31-45Danieli alimwambia Nebukadreza: Wewe Ee mfalme, uliona na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii iliyokuwa kubwa sana na mwangaza wake mwingi sana,
NOVEMBA 27, 2023; JUMATATU: JUMA LA 34 LA MWAKA
Mt. Leonardi, PadreKijaniZaburi: Juma 2 SOMO 1: Dan 1:1-6, 8-20Katika mwaka wa tatu wa kumiliki kwake Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, Nebukadreza, mfalme wa Babiloni, alikwenda Yerusalemu akauhusuru. Bwana akamtia Yehoyakimu,
NOVEMBA 26, 2023; DOMINIKA: DOMINIKA YA 34 YA MWISHO WA MWAKA
KRISTU MFALMEShereheNyeupeZaburi: Tazama sala ya siku SOMO 1: Eze. 34:11-12, 15-17Bwana Mungu asema hivi; Tazama mimi mwenyewe, naam, mimi, nitawatafuta kondoo zangu, na kuwaulizia. Kama vile mchungaji atafutavyo kondoo zake,
NOVEMBA 25, 2023; JUMAMOSI: JUMA LA 33 LA MWAKA
Mt. Katarina wa AlexandriaKijaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: 1 Mak 6:1-13Mfalme Antioko alipokuwa akisafiri katika nchi za juu alisikia habari za Elimaisi, mji wa Uajemi, uliosifiwa sana kwa utajiri wake,
NOVEMBA 24, 2023; IJUMAA: JUMA LA 33 LA MWAKA
Wat. Flora na Maria, MashahidiKijaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: 1 Mak 4:36-37, 52-59Yuda na ndugu zake walisema, sasa adui zetu wamevunjwa nguvu, basi tupande tukapatakase mahali patakatifu na kupatabaruku. Jeshi
NOVEMBA 23, 2023; ALHAMISI: JUMA LA 33 LA MWAKA
Mt. Klementi I, Baba Mt. na Shahidi/ Mt. Kolumbani, AbatiKijaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: 1 Mak 2:15-29Watumishi wa mfalme waliokuwa wakiwashurutisha watu kuasi wakaja Modini kuwalazimisha watu kutoa dhabihu. Waisraeli
NOVEMBA 22, 2023; JUMATANO: JUMA LA 33 LA MWAKA
Mt. Sesilia, Bikira na ShahidiKumbukumbuKijaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: 2 Mak. 7:1, 20-31Ilitokea ya kuwa ndugu saba, pamoja na mama yao, walikamatwa kwa amri ya mfalme na kuteswa sana kwa
NOVEMBA 21, 2023; JUMANNE: JUMA LA 33 LA MWAKA
Kutolewa Bikira Maria Mt. HekaluniKumbukumbuKijaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: 2 Mak 6:18-31Eliyazari, mmoja wa waandishi wakuu, mtu wa umri mkubwa na sura njema, alishurutishwa kufunua kinywa chake kulishwa nyama ya
NOVEMBA 20, 2023; JUMATATU: JUMA LA 33 LA MWAKA
Mt. Adrea Avelino, MtawaKijaniZaburi: Juma 1 SOMO 1: 1 Mak 1:10-15, 41-43, 54-57, 62-64Kulichipuka chipukizi chenye dhambi, ndiye Antioko Epifani, mwana wa mfalme Antioko, ambaye alikuwa amewekwa amana kwa Warumi.