,

True Devotion to Mary


Ibada ya kweli kwa Bikira Maria haiwezekani bila kumfahamu mama huyu na ushiriki wake wa kiwango cha juu katika ukombozi wetu, kabla ya kuzaliwa kwa Kristu, wakati wa uhai wa Kristu, baada ya kufa na kufufuka kwa Kristu na hata leo hii.

Mt. Luis De Montfort alikua na ibada kubwa sana kwa Bikira Maria hata akatuleteakitabu hiki ili nasi tupate kufika mbinguni kama yeye.

 

Author: St. Louis Marie De Montfort

Publisher: Claretian Publications

Pages: 288

Sh11,500