,

Thuricoal: Mkaa wa Ubani


Mkaa wa Ubani uliotengenezwa kutokana na Vifuu vya Nazi (i.e., Coconut Shell Charcoal Cubes).

  • Kuna vimkaa 60 kwenye box 1, viwili hutosha kwa misa nzima
  • Hautoi moshi wa kaboni (hivyo utauskia ubani vizuri)
  • Huwaka muda mrefu zaidi
  • Hautoi cheche
  • Hauna masizi
  • Hutunza mazingira
  • Mbanio Bure
  • Weight: 1 Kgs
  • 60 charcoal cubes

Sh33,000