Shajara za Tafakari Nasi kwa mwaka 2024. Ndani zina:
- Masomo ya Misa kwa mwaka mzima
- Masomo hayajakatwa, Yote yanapatikana sehemu moja
- Tafakari nzuri za kila somo la kila siku kutoka kwa mapadre wabobezi
- Mtakatifu wa siku
- Sikukuu, Sherehe na Kumbukumbu mbalimbali za Kanisa
- Rangi za Kiluturujia za kila siku kulingana na kipindi cha mwaka wa Kanisa