,

SHAJARA za Tafakari Nasi 2022 (Popular Edition)


Soma Masomo ya Misa na Tafakari zake za kila siku kwa mwaka mzima wa 2022.

  • Bei ya Rejareja = Tshs 11,000
  • Bei ya Jumla (kuanzia box 1 la shajara 32) = Tshs 336,000 (=Tshs 10,500 each).

Sh11,000

Shajara za Tafakari Nasi kwa mwaka 2022. Ndani zina:

  • Masomo ya Misa kwa mwaka mzima
  • Tafakari nzuri za kila somo la kila siku kutoka kwa mapadre wabobezi
  • Mtakatifu wa siku
  • Sikukuu, Sherehe na Kumbukumbu mbalimbali za Kanisa
  • Rangi za Kiluturujia za kila siku kulingana na kipindi cha mwaka wa Kanisa