,

Shajara za TAFAKARI NASI 2021 (Toleo la Kiswahili)


Shajara hizi ni kwa ajili ya masomo ya misa ya mwaka mzima wa 2021 kuanzia tarehe 1 Januari, 2021 mpaka 31 Disemba, 2021.

Kwa jumla kuanzia shajara 32 [Box 1] ni Tshs 336,000 (=Tshs 10,500 each).

Sh11,000

Shajara hizi zilizoboreshwa zimesheheni taarifa nyingi za kiliturujia kama:

  • Masomo ya Misa ya kila siku
  • Tafakari nzuri za siku kwa kila somo
  • Watakatifu wa Siku kwa mwaka mzima
  • Sala na ibada mbalimbali muhimu kwa mkristu mkatoliki
  • n.k.

 

 Zinapatikana mikoani pia, majimbo yote Tanzania. Kwa mawasiliano zaidi tupigie +255 784 496 155

Categories: ,

You may also like…