,

Picha ya Mtakatifu Yuda Tadei


Habari zake za hakika zinategemea Agano Jipya ambamo anatajwa katika orodha ya ambao waliteuliwa na Yesu Kristo kama msingi wa taifa jipya la Mungu Habari zake za hakika zinategemea Agano Jipya ambamo anatajwa katika orodha ya ambao waliteuliwa na Yesu Kristo kama msingi wa taifa jipya la Mungu wakatumwa naye kuhubiri na kuponya. .

Sh25,000

Yuda Tadei ni jina la mmojawapo kati ya Mitume wa Yesu ambalo Injili zinajitahidi kumtofautisha na Yuda Iskarioti msaliti wa Yesu. Habari zake za hakika zinategemea Agano Jipya ambamo anatajwa katika orodha ya ambao waliteuliwa na Yesu Kristo kama msingi wa taifa jipya la Mungu wakatumwa naye kuhubiri na kuponya.  Injili ya Yohane tu inaripoti neno lake moja katika simulizi la karamu ya mwisho alipomuuliza Yesu imekuwaje atajifunua kwao lakini si kwa ulimwengu. Yesu alimjibu kwamba yeyote anayempenda atashika neno lake na Baba atampenda na kufanya maskani yake kwake pamoja na Mwana.