,

Picha ya moyo safi wa Bikira Maria.


Mke wa Yosefu alimzaa Yesu Kristo. Kwa sababu hiyo na kwa utakatifu wake anapewa heshima ya pekee katika madhehebu mengi ya Ukristo.

Sh28,000

Compare

Maria alikuwa mwanamke Myahudi aliyeishi kati ya karne ya 1 . Mke wa Yosefu alimzaa Yesu Kristo. Kwa sababu hiyo na kwa utakatifu wake anapewa heshima ya pekee katika madhehebu mengi ya Ukristo.  Jina hilo limeenea sana duniani kote hasa kwa heshima ya mama wa Yesu.