HOLY PICTURES, Our Lady of Fatima
Picha ya Bikira Maria wa Fatima
Picha kuwba ikimwonesha mama yetu Bikira Maria alipowatokea watoto wa Fatima (i.e., Lucia, Francis na Yasinta) na kuwahimiza wasali rozari kuiombea dunia ipate amani. Mwaka 1917.
Related products
-
HOLY PICTURES, St. Jude Thaddeus
Picha ya Mtakatifu Yuda Tadei
0 out of 5(0)Habari zake za hakika zinategemea Agano Jipya ambamo anatajwa katika orodha ya ambao waliteuliwa na Yesu Kristo kama msingi wa taifa jipya la Mungu Habari zake za hakika zinategemea Agano Jipya ambamo anatajwa katika orodha ya ambao waliteuliwa na Yesu Kristo kama msingi wa taifa jipya la Mungu wakatumwa naye kuhubiri na kuponya. .
SKU: n/aSh25,000