Related products
-
BOOKS, Meditation
Come to Me in the Blessed Sacrament
0 out of 5(0)Mwandishi anatualika katika Sakramenti Takatifu sana ya Ekaristi, anaelezea umuhimu, faida na ulazima wa sisi kuiabudu sakramenti kubwa hii.
Kumuabudu Bwana wetu Yesu Kristu mwenyewe alie katika maumbo ya mkate na divai humimina neema na msamaha kwa wote waaminio na kushiriki kikamilifu.
Author: Fr. Vincent Martin Lucia,
Publisher: St. Pauls
SKU: n/aSh5,500 -
BOOKS, Life Matters, Meditation, Prayer Books
Bread for the Journey; Reflections for Every Day of the Year
BOOKS, Life Matters, Meditation, Prayer BooksBread for the Journey; Reflections for Every Day of the Year
0 out of 5(0)Kitabu hiki kinamjumuisho wa tafakari na sala mbalimbali kwa kila siku katika mwaka juu ya mambo muhimu ya kimaisha. Ni kwa ajili ya kutuweka karibu zaidi na Mungu na kutushibisha kiimani katika safari yetu ya kuutafuta Ufalme wa Mbinguni (Bread for the Journey).
Author: Henri J.M. Nouwen,
Publisher: St. Pauls.
SKU: n/aSh7,700 -
BOOKS, Life Matters
God’s Advice for You
0 out of 5(0)Kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vya God’s Advice for You by Regis Castro, ed. Mwandishi anachota hekima nyingi kutoka kitabu cha Mithali na kuzihusianisha na maisha yetu ya kila siku.
Author: Regis Castro, ed.
Publisher: Claretian Publications
Pages: 142
SKU: n/aSh1,100