,

Jesus is My Friend


Kitabu kinachoeleza upendo mkubwa wa Bwana wetu, Yesu Kristu kwetu, na umuhimu wa jina lake katika ukombozi wetu, na utatuzi wa changamoto zetu za kila siku katika maisha.

 

Authors: Regis Castro & Maisa Castro

Publisher: Claretian Publications.

Sh2,800