Related products
-
BOOKS, Life Matters, Meditation, Prayer Books
Bread for the Journey; Reflections for Every Day of the Year
BOOKS, Life Matters, Meditation, Prayer BooksBread for the Journey; Reflections for Every Day of the Year
0 out of 5(0)Kitabu hiki kinamjumuisho wa tafakari na sala mbalimbali kwa kila siku katika mwaka juu ya mambo muhimu ya kimaisha. Ni kwa ajili ya kutuweka karibu zaidi na Mungu na kutushibisha kiimani katika safari yetu ya kuutafuta Ufalme wa Mbinguni (Bread for the Journey).
Author: Henri J.M. Nouwen,
Publisher: St. Pauls.
SKU: n/aSh7,700 -
CHURCHWARES, Monstrances
Monstrance
0 out of 5(0)Monstransi kubwa iliyonakshiwa kwa rangi ya dhahabu. Hutumika katika ibada zenye madhimisho ya Sakramenti ya Ekaristi Takatifu (Eucharist Adoration) kwa ajili ya kuwekea mwili wa Bwana wetu Yesu Kristu kwa kuonekana.
- Height: 85 cm
- Diameter: 50 cm
- Free Shipping (in Tanzania)
SKU: n/aSh4,400,000 -
BOOKS, Meditation
Come to Me in the Blessed Sacrament
0 out of 5(0)Mwandishi anatualika katika Sakramenti Takatifu sana ya Ekaristi, anaelezea umuhimu, faida na ulazima wa sisi kuiabudu sakramenti kubwa hii.
Kumuabudu Bwana wetu Yesu Kristu mwenyewe alie katika maumbo ya mkate na divai humimina neema na msamaha kwa wote waaminio na kushiriki kikamilifu.
Author: Fr. Vincent Martin Lucia,
Publisher: St. Pauls
SKU: n/aSh5,500
There are no reviews yet.