statues
Showing all 2 results
-
Saints' Statues, STATUES & CRUCIFIXES
Mt. Antony Maria Claret (statue)
Sanamu ndogo ya Mtakatifu Antoni Maria Claret, C.M.F., mwanzilishi na msimamizi wa Shirika la Kimisionari la Moyo Safi wa Maria (Immaculate Heart of Mary), hujulikana zaidi kama Claretians.
Alifariki Tar 24 Octoba, 1870, na kutangazwa mtakatifu tar 7 May, 1950 na Papa Pius XII.
Sherehe yake huazimishwa kila mwaka tarehe 24 Octoba.
- Height of Statue: 40 cm
- Free Shipping (in Tanzania)
SKU: n/a -
STATUES & CRUCIFIXES
Sanamu ya Bikira Maria wa Fatima (125 cm).
Bikira Maria wa Fatima (jina rasmi: Bibi Yetu wa Rosari takatifu wa Fatima Nossa Senhora do Rosário de Fátima), ni jina mojawapo la Bikira Maria lililotokana na njozi maarufu za mwaka 1917 walizozisimulia watoto watatu wa Fatima, Ureno: Lusia Santos na binamu zake Yasinta Marto na Fransisko Marto.
SKU: n/a