rozari
Showing all 5 results
-
BOOKS, Marian Books, Meditation
Rosary of Liberation
Ipende na kuiamini rozari, kwani ndio ukombozi. Hutuweka karibu na Bikira Maria ambae hupeleka maombi yetu kwa mwanae, Yesu Kristu, na hivyo kupitia yeye Hakuna ombi litakalokataliwa na Yesu, nasi tutakua huru na tuliokombolewa.
Authors: Regis Castro & Maisa Castro
Publisher: Claretian Publications
Pages: 208
SKU: n/a -
BOOKS, Prayer Books
The Our Father Rosary; A Universal Prayer of Christian Inspiration
Kitabu hiki chenye sala nzuri na yenye nguvu sana ya Baba Yetu katika mfumo wa rosari
Sala hii inatupa tafakari ya kutosha katika mafumbo ya Uumbaji, Wokovu na Utakatifuzo ambapo Baba, Mwana na Roho Mtakatifu wanatukuzwa na kuheshimiwa.
Author: Fr. Abraham Ayckara, MST. & Fr. Jose Palakeel, MST.
Publisher: Claretian Publications.
Number of Pages: 64.
SKU: n/a -
-
BOOKS, Marian Books, Prayer Books
The Secret of the Holy Rosary
Kusali rozari kuna tumaini na ushindi mkubwa sana hata kwa yale yaliyo magumu sana kutekelezeka katika hali ya kibinadamu. Kitabu hiki kinaeleza namna mbalimbali rozari na Mama yetu Bikira Maria wanaweza kutuletea ushindi huo.
Author: St. Louis-Marie Grignion De Montfort
Publisher: Claretian Publications
SKU: n/a