Claretians
Showing all 2 results
-
Saints' Statues, STATUES & CRUCIFIXES
Mt. Antony Maria Claret (statue)
Sanamu ndogo ya Mtakatifu Antoni Maria Claret, C.M.F., mwanzilishi na msimamizi wa Shirika la Kimisionari la Moyo Safi wa Maria (Immaculate Heart of Mary), hujulikana zaidi kama Claretians.
Alifariki Tar 24 Octoba, 1870, na kutangazwa mtakatifu tar 7 May, 1950 na Papa Pius XII.
Sherehe yake huazimishwa kila mwaka tarehe 24 Octoba.
- Height of Statue: 40 cm
- Free Shipping (in Tanzania)
SKU: n/a -
BOOKS, Saints' Books
St. Anthony Mary Claret; Autobiography
Maisha, mafundisho, mafanikio na miujiza mbalimbali kumhusu mtakatifu Antoni Maria Claret imeelezewa kwa undani katika kitabu hiki.
Mtakatifu huyu ndiye mwanzilishi wa shirika la Immaculate Heart of Mary (also called Claretians)
Authors: Jose Maria Vinas & Jesus Bermejo
Publisher: Claretian Publications
Pages: 456
SKU: n/a