Claretian Publications
Showing 1–48 of 69 results
-
Bibles, BOOKS, Meditation
A Beginner’s Guide to the New Testament
Kitabu hiki hutoa utangulizi na mwangaza kwa mtu yeyote anaependa kujifunza kuhusu biblia, na hasa hasa Agano Jipya.
Tafakari ya vifungu na historia mbalimbali za biblia zinapatikana katika kitabu hiki kizuri.
Author: William Barclay
Publisher: Theological Publications of India
SKU: n/a -
Prayer Books, Saints' Books
Be Mindful Of Us: Prayers to the Saints
Kitabu chenye mkusanyiko wa sala nyingi kwa Watakatifu kwajili ya kipindi chote cha mwaka mzima (kila siku), na utangulizi mdogo kuzihusu.
Author: Anthony F. Chiffolo
Publisher: Claretian Publications
Number of Pages: 320
Language: English
SKU: n/a -
-
STATUES & CRUCIFIXES, Virgin Mary Statues
Bikira Maria Mtakatifu na Mtoto Yesu (statue)
Sanamu kubwa ya Bikira Maria Mtakatifu akiwa amembeba Mtoto Yesu. Hufaa sana kuwekwa kwenye grotto la Bikira Maria, Kanisani, na mahala popote panapohitaji kuonekana zaidi.
- Height: 3 feet (95 cm).
- Free Shipping (in Tanzania).
SKU: n/a -
BOOKS, Life Matters, Meditation, Prayer Books
Bread for the Journey; Reflections for Every Day of the Year
BOOKS, Life Matters, Meditation, Prayer BooksBread for the Journey; Reflections for Every Day of the Year
Kitabu hiki kinamjumuisho wa tafakari na sala mbalimbali kwa kila siku katika mwaka juu ya mambo muhimu ya kimaisha. Ni kwa ajili ya kutuweka karibu zaidi na Mungu na kutushibisha kiimani katika safari yetu ya kuutafuta Ufalme wa Mbinguni (Bread for the Journey).
Author: Henri J.M. Nouwen,
Publisher: St. Pauls.
SKU: n/a -
BOOKS, Meditation
Come to Me in the Blessed Sacrament
Mwandishi anatualika katika Sakramenti Takatifu sana ya Ekaristi, anaelezea umuhimu, faida na ulazima wa sisi kuiabudu sakramenti kubwa hii.
Kumuabudu Bwana wetu Yesu Kristu mwenyewe alie katika maumbo ya mkate na divai humimina neema na msamaha kwa wote waaminio na kushiriki kikamilifu.
Author: Fr. Vincent Martin Lucia,
Publisher: St. Pauls
SKU: n/a -
-
BOOKS, Meditation
Experiencing God’s Presence; 365 daily encounter to bring you closer to Him
Kitabu hiki kitakupa tafakari ya kila siku kwa kipindi chote cha mwaka mzima juu ya mambo mbalimbali yatakayobadilisha kabisa maisha yako na kukuweka karibu na Mungu zaidi ya ilivyowahi kua hapo kabla.
Author: Chris Tiegreen
Publisher: St. Pauls Publications
SKU: n/a -
BOOKS, Life Matters
Family Covenant with God
Familia bora ni ile iliyojishikiza katika misingi ya imani na hofu ya Mungu. Na familia ya aina hii ndio msingi wa dunia yenye amani. Mwandishi anathibitisha hayo katika kitabu hiki.
Author: Regis Castro, ed.
Publisher: Claretian Publications
Pages: 142
SKU: n/a -
BOOKS, Life Matters
God’s Advice for You
Kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vya God’s Advice for You by Regis Castro, ed. Mwandishi anachota hekima nyingi kutoka kitabu cha Mithali na kuzihusianisha na maisha yetu ya kila siku.
Author: Regis Castro, ed.
Publisher: Claretian Publications
Pages: 142
SKU: n/a -
BOOKS, Life Matters
God’s Advice for You II
Kitabu cha Pili katika mfululizo wa vitabu vya “God’s Advice for You” by Regis Castro. Ndani yake kumejaa busara na mafunzo mbalimbali juu ya maisha yenye kumpendeza Mungu na mwanadamu. Mwandishi amechimbua busara hizi kutoka kitabu cha Mhubiri
Author: Regis Castro, ed
Publisher: Claretian Publications
Pages: 228
SKU: n/a -
-
BOOKS, Devotional Books, Prayer Books
Let Us Stand Up For Prayer; Sacred Tests That Shape Perspectives
BOOKS, Devotional Books, Prayer BooksLet Us Stand Up For Prayer; Sacred Tests That Shape Perspectives
Mwandishi amekusanya sala na ibada mbalimbali kutoka katika mapokeo ya dini tofauti tofauti ambazo lengo lake ni moja tu; “Kumtukuza Mungu kama familia moja”
Author: Vincent Shekhar, SJ
Publisher: Claretian Publications
Pages: 264
SKU: n/a -
BOOKS, Life Matters
Majuto ya Pesa Haramu (Pocket Size)
Hadithi ya kisa cha kweli na cha kusisimua juu ya maisha ya mwanamke mmoja alieshawishiwa na kuingia katika biashara haramu na hatari ya madawa ya kulevya, iliyyompelekea kuishia gerezani.
Author: Saga McOdongo
Publisher: Paulines Publications Africa
SKU: n/a -
CHURCHWARES, Monstrances
Monstrance
Monstransi kubwa iliyonakshiwa kwa rangi ya dhahabu. Hutumika katika ibada zenye madhimisho ya Sakramenti ya Ekaristi Takatifu (Eucharist Adoration) kwa ajili ya kuwekea mwili wa Bwana wetu Yesu Kristu kwa kuonekana.
- Height: 85 cm
- Diameter: 50 cm
- Free Shipping (in Tanzania)
SKU: n/a -
CHURCHWARES, Monstrances
Monstrance
Monstransi kubwa iliyonakshiwa kwa rangi ya dhahabu. Hutumika katika ibada zenye madhimisho ya Sakramenti ya Ekaristi Takatifu (Eucharist Adoration) kwa ajili ya kuwekea mwili wa Bwana wetu Yesu Kristu kwa kuonekana.
- Height: 85 cm
- Diameter: 50 cm
- Free Shipping (in Tanzania)
SKU: n/a -
BOOKS, Saints' Books
Mother Theresa; The Glorious Years
Kitabu hiki kinaeleza maisha ya siku za mwisho za mtakatifu Mama Theresa wa Kalkuta kama ilivyoshuhudiwa na mwandishi wa kitabu hiki kuanzia mwaka 1985 – 1992. Kinamwelezea mtakatifu huyu kama mtu mwenye bidii ya sala, kuchaguliwa kwake kuliongoza shirika, kutembelewa na Papa Yohane Paulo II, n.k.
Author: Fr. Edward Le Joly, S.J.
Publisher: St. Pauls.
SKU: n/a -
Saints' Statues, STATUES & CRUCIFIXES
Mt. Antony Maria Claret (statue)
Sanamu ndogo ya Mtakatifu Antoni Maria Claret, C.M.F., mwanzilishi na msimamizi wa Shirika la Kimisionari la Moyo Safi wa Maria (Immaculate Heart of Mary), hujulikana zaidi kama Claretians.
Alifariki Tar 24 Octoba, 1870, na kutangazwa mtakatifu tar 7 May, 1950 na Papa Pius XII.
Sherehe yake huazimishwa kila mwaka tarehe 24 Octoba.
- Height of Statue: 40 cm
- Free Shipping (in Tanzania)
SKU: n/a -
BOOKS, Life Matters, Meditation
My Yoke is Easy, My Burden is Light
“Nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi”.
Kitabu hiki kinadadafua kwa undani juu ya umuhimu wa kukubali kuumia na kunyanyaswa kwa ajili ya Kristu kama yeye alivyofanya kwa ajili yetu, kwa kua Yesu Kristu aliahidi kutupigania.
Tafakari pia ya njia ya msalaba ipo katika kitabu hiki kizuri.
Author: Paul Mathulla
Publisher: Claretian Publications
Pages: 64 pg
SKU: n/a -
BOOKS, Devotional Books, Prayer Books, Saints' Books
Prayers of Power III
Kitabu cha 3 katika mfululizo wa vitabu vya Prayers of Power by Maisa Castro.
Kitabu hiki kina mkusanyiko wa sala, novena, litania na ibada mbalimbali kwa watakatifu. Sala zenye uwezo wa kubadili maisha yako.
Author: Maisa Castro, org
Publisher: Claretian Publications
Pages: 312
SKU: n/a -
BOOKS, Life Matters
Radical Forgiveness
“Samehe saba mara sabini”
Msamaha hautakiwi kuchagua, wala kubagua. Kila mtu anahitaji msamaha, na kila mtu anahitaji kusamehe. Kitabu hiki kinaelezea kwa undani juu ya msamaha wa kweli wenye kuleta amani ya moyo.
Author: Antoinette Bosco
Publisher: St. Pauls Publications.
SKU: n/a -
BOOKS, Marian Books, Meditation
Rosary of Liberation
Ipende na kuiamini rozari, kwani ndio ukombozi. Hutuweka karibu na Bikira Maria ambae hupeleka maombi yetu kwa mwanae, Yesu Kristu, na hivyo kupitia yeye Hakuna ombi litakalokataliwa na Yesu, nasi tutakua huru na tuliokombolewa.
Authors: Regis Castro & Maisa Castro
Publisher: Claretian Publications
Pages: 208
SKU: n/a