Saints' Statues
Showing all 3 results
-
Saints' Statues, STATUES & CRUCIFIXES
Mt. Antony Maria Claret (statue)
Sanamu ndogo ya Mtakatifu Antoni Maria Claret, C.M.F., mwanzilishi na msimamizi wa Shirika la Kimisionari la Moyo Safi wa Maria (Immaculate Heart of Mary), hujulikana zaidi kama Claretians.
Alifariki Tar 24 Octoba, 1870, na kutangazwa mtakatifu tar 7 May, 1950 na Papa Pius XII.
Sherehe yake huazimishwa kila mwaka tarehe 24 Octoba.
- Height of Statue: 40 cm
- Free Shipping (in Tanzania)
SKU: n/a -
Saints' Statues, STATUES & CRUCIFIXES
Sanamu ya Mt. Antoni wa Padua cm(45)
Alizaliwa mwaka 1195 huko Lisbon, Ureno.
Aliitwa Fernando Martins. Alizaliwa katika familia njema yenye uwezo. Akiwa na umri wa miaka 15 aliomba kupelekwa seminari ya Santa Cruz katika mji wa Coimbra ambako alisoma teolojia na kilatini.
Akapata daraja la upadre na akawa hapo hapo mjini Coimbra.SKU: n/a