Meditation
Showing all 19 results
-
Bibles, BOOKS, Meditation
A Beginner’s Guide to the New Testament
Kitabu hiki hutoa utangulizi na mwangaza kwa mtu yeyote anaependa kujifunza kuhusu biblia, na hasa hasa Agano Jipya.
Tafakari ya vifungu na historia mbalimbali za biblia zinapatikana katika kitabu hiki kizuri.
Author: William Barclay
Publisher: Theological Publications of India
SKU: n/a -
BOOKS, Life Matters, Meditation, Prayer Books
Bread for the Journey; Reflections for Every Day of the Year
BOOKS, Life Matters, Meditation, Prayer BooksBread for the Journey; Reflections for Every Day of the Year
Kitabu hiki kinamjumuisho wa tafakari na sala mbalimbali kwa kila siku katika mwaka juu ya mambo muhimu ya kimaisha. Ni kwa ajili ya kutuweka karibu zaidi na Mungu na kutushibisha kiimani katika safari yetu ya kuutafuta Ufalme wa Mbinguni (Bread for the Journey).
Author: Henri J.M. Nouwen,
Publisher: St. Pauls.
SKU: n/a -
BOOKS, Meditation
Come to Me in the Blessed Sacrament
Mwandishi anatualika katika Sakramenti Takatifu sana ya Ekaristi, anaelezea umuhimu, faida na ulazima wa sisi kuiabudu sakramenti kubwa hii.
Kumuabudu Bwana wetu Yesu Kristu mwenyewe alie katika maumbo ya mkate na divai humimina neema na msamaha kwa wote waaminio na kushiriki kikamilifu.
Author: Fr. Vincent Martin Lucia,
Publisher: St. Pauls
SKU: n/a -
BOOKS, Meditation
Experiencing God’s Presence; 365 daily encounter to bring you closer to Him
Kitabu hiki kitakupa tafakari ya kila siku kwa kipindi chote cha mwaka mzima juu ya mambo mbalimbali yatakayobadilisha kabisa maisha yako na kukuweka karibu na Mungu zaidi ya ilivyowahi kua hapo kabla.
Author: Chris Tiegreen
Publisher: St. Pauls Publications
SKU: n/a -
BOOKS, Life Matters, Meditation
My Yoke is Easy, My Burden is Light
“Nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi”.
Kitabu hiki kinadadafua kwa undani juu ya umuhimu wa kukubali kuumia na kunyanyaswa kwa ajili ya Kristu kama yeye alivyofanya kwa ajili yetu, kwa kua Yesu Kristu aliahidi kutupigania.
Tafakari pia ya njia ya msalaba ipo katika kitabu hiki kizuri.
Author: Paul Mathulla
Publisher: Claretian Publications
Pages: 64 pg
SKU: n/a -
BOOKS, Marian Books, Meditation
Rosary of Liberation
Ipende na kuiamini rozari, kwani ndio ukombozi. Hutuweka karibu na Bikira Maria ambae hupeleka maombi yetu kwa mwanae, Yesu Kristu, na hivyo kupitia yeye Hakuna ombi litakalokataliwa na Yesu, nasi tutakua huru na tuliokombolewa.
Authors: Regis Castro & Maisa Castro
Publisher: Claretian Publications
Pages: 208
SKU: n/a -
BOOKS, Meditation
Stations of the Cross: The Story of God’s Compassion
Kitabu hiki kinaeleza historia ya vituo vya njia ya msalaba, kuanzia Yesu alipojitoa sadaka kwa ajili yetu, wakristo wa kwanza walivyoanza kufanya ibada hii na bila kusahau tafakari sisisi ya vituo hvyo na vipawa mbalimbali vinavyoonekana ndani ya kila kituo.
Author: Rev. T. Ronald Haney
Publisher: Claretian Publications.
SKU: n/a -
Bibles, BOOKS, Meditation
The International Bible Commentary
Kitabu kinachotoa fasiri kwa vifungu mbalimbali vya biblia, historia, ramani, sheria na maelezo ya kutosha kumwezesha mtumiaji wa biblia kuelewa vizuri.
Hufaa sana kwa wachungaji, makatekista, na wasomaji wote wa wapendao kujifunza kuhusu teolojia kwenye biblia.
Author: William R. Farmer
Publisher: Theological Publications of India
Pages: 2017
SKU: n/a -
BOOKS, Meditation, Prayer Books
The Prayer That GOD Answers
Kitabu hiki kinaeleza kwanini sala na maombi yetu mengi kwa Mungu hayajibiwi. Kinatupatia majibu yenye maelekezo na miongozo ya kutosha ili tuweze kusali sala na kupeleka maombi kwa Muumba wetu ambayo atayajibu.
Publisher: Claretian Publications
SKU: n/a