
Top Categories the Month
BOOKS & MEDIA
-
-
BOOKS, Life Matters
Majuto ya Pesa Haramu (Pocket Size)
Hadithi ya kisa cha kweli na cha kusisimua juu ya maisha ya mwanamke mmoja alieshawishiwa na kuingia katika biashara haramu na hatari ya madawa ya kulevya, iliyyompelekea kuishia gerezani.
Author: Saga McOdongo
Publisher: Paulines Publications Africa
SKU: n/a
CHURCHWARES & APPAREL
-
Censer & Boats, CHURCHWARES
Thuricoal: Mkaa wa Ubani
Mkaa wa Ubani uliotengenezwa kutokana na Vifuu vya Nazi (i.e., Coconut Shell Charcoal Cubes).
- Kuna vimkaa 60 kwenye box 1, viwili hutosha kwa misa nzima
- Hautoi moshi wa kaboni (hivyo utauskia ubani vizuri)
- Huwaka muda mrefu zaidi
- Hautoi cheche
- Hauna masizi
- Hutunza mazingira
- Mbanio Bure
- Weight: 1 Kgs
- 60 charcoal cubes
SKU: n/a -
STATUES & CRUCIFIXES
-
STATUES & CRUCIFIXES, Virgin Mary Statues
Bikira Maria Mtakatifu na Mtoto Yesu (statue)
Sanamu kubwa ya Bikira Maria Mtakatifu akiwa amembeba Mtoto Yesu. Hufaa sana kuwekwa kwenye grotto la Bikira Maria, Kanisani, na mahala popote panapohitaji kuonekana zaidi.
- Height: 3 feet (95 cm).
- Free Shipping (in Tanzania).
SKU: n/a
-
Saints' Statues, STATUES & CRUCIFIXES
Sanamu ya Mt. Antoni wa Padua cm(45)
Alizaliwa mwaka 1195 huko Lisbon, Ureno.
Aliitwa Fernando Martins. Alizaliwa katika familia njema yenye uwezo. Akiwa na umri wa miaka 15 aliomba kupelekwa seminari ya Santa Cruz katika mji wa Coimbra ambako alisoma teolojia na kilatini.
Akapata daraja la upadre na akawa hapo hapo mjini Coimbra.SKU: n/a -
Jesus' Statues, STATUES & CRUCIFIXES
Sanamu ya Yesu Mfufuka cm(75)
Leo Ufufuko wa Yesu Kristo ni kitovu cha ujumbe unaotangazwa kwa ulimwengu na Kanisa Lake kama ilivyokuwa wakati ule. Kanuni za msingi za dini yetu ni ushuhuda wa Mitume na Manabii kuhusu Yesu Kristo kwamba alikufa akazikwa na akafufuka tena siku ya tatu na kupaa mbinguni na mambo yote mengine ambayo yanahusiana na dini yetu.
SKU: n/a -
STATUES & CRUCIFIXES
Sanamu ya Bikira Maria wa Fatima (125 cm).
Bikira Maria wa Fatima (jina rasmi: Bibi Yetu wa Rosari takatifu wa Fatima Nossa Senhora do Rosário de Fátima), ni jina mojawapo la Bikira Maria lililotokana na njozi maarufu za mwaka 1917 walizozisimulia watoto watatu wa Fatima, Ureno: Lusia Santos na binamu zake Yasinta Marto na Fransisko Marto.
SKU: n/a -
Saints' Statues, STATUES & CRUCIFIXES
Mt. Antony Maria Claret (statue)
Sanamu ndogo ya Mtakatifu Antoni Maria Claret, C.M.F., mwanzilishi na msimamizi wa Shirika la Kimisionari la Moyo Safi wa Maria (Immaculate Heart of Mary), hujulikana zaidi kama Claretians.
Alifariki Tar 24 Octoba, 1870, na kutangazwa mtakatifu tar 7 May, 1950 na Papa Pius XII.
Sherehe yake huazimishwa kila mwaka tarehe 24 Octoba.
- Height of Statue: 40 cm
- Free Shipping (in Tanzania)
SKU: n/a -
STATUES & CRUCIFIXES, Virgin Mary Statues
Bikira Maria Mtakatifu na Mtoto Yesu (statue)
Sanamu kubwa ya Bikira Maria Mtakatifu akiwa amembeba Mtoto Yesu. Hufaa sana kuwekwa kwenye grotto la Bikira Maria, Kanisani, na mahala popote panapohitaji kuonekana zaidi.
- Height: 3 feet (95 cm).
- Free Shipping (in Tanzania).
SKU: n/a
HOLY PICTURES
-
-
HOLY PICTURES, St. Jude Thaddeus
Picha ya Mtakatifu Yuda Tadei
Habari zake za hakika zinategemea Agano Jipya ambamo anatajwa katika orodha ya ambao waliteuliwa na Yesu Kristo kama msingi wa taifa jipya la Mungu Habari zake za hakika zinategemea Agano Jipya ambamo anatajwa katika orodha ya ambao waliteuliwa na Yesu Kristo kama msingi wa taifa jipya la Mungu wakatumwa naye kuhubiri na kuponya. .
SKU: n/a -
-
-