Slide Slide JIPATIE SANAMU
NZURI ZA
WATAKATIFU
KWA BEI NAFUU KABISA Chagua bikira maria

APRILI 18, 2021; DOMINIKA: DOMINIKA YA 3 YA PASKA

Mwaka BNyeupeZaburi: Juma 1 SOMO 1: Mdo 3: 13-15, 17-19a.Petro aliwaambia watu wote: Mungu wa Ibrahimu na wa Isaka na wa Yakobo, Mungu wa baba zetu, amemtukuza mtumishi wake Yesu;

APRILI 17, 2021; JUMAMOSI: JUMA LA 2 LA PASKA

NyeupeZaburi: Juma 4 SOMO 1: Mdo 6:1-7Siku zile wanafunzi walipokuwa wakiongezeka hesabu yao, palikuwa na manung’niko ya Wayahudi wa Kiyunani juu ya Waebrania kwa sababu wajane wao walisahauliwa katika huduma

APRILI 16, 2021; IJUMAA: JUMA LA 2 LA PASKA

NyeupeZaburi: Juma 4 SOMO 1: Mdo 5:34-42Mtu mmoja, jina lake Gamalieli, mwalimu wa torati, mwenye kuheshimiwa na watu wote, akasimama katika baraza, akaamuru mitume wawekwe nje kitambo kidogo, akawaambia, Enyi

BOOKS & MEDIA

CHURCHWARES & APPAREL

STATUES & CRUCIFIXES

HOLY PICTURES